Jumatatu, 30 Septemba 2013

Jumapili, 29 Septemba 2013

We love your children & build their talents

i

Teacher D is teaching
Mwalimu Shelly anafundisha Kids Company


Hello Tanzania
Sisi ni walimu wenye upendo kwa watoto wenu,we love your Children so much,and shaping their DREAMS
Tunafanya hayo kwa msaada wa Mungu .Huruma Academy

Jumamosi, 28 Septemba 2013


I have got Jesus in My life

Sitaogopa maishani Mwangu ninaye Yesu moyoni ameakikisha mambo yote sawa
Enyi watoto watiini wazazi wenu katika Bwana
Mlee mtoto katika njia impasayo naye hataiacha
What a Friend We have in Jesus

I once was Lost but Now am found!

Mungu with us!

Mambo sawasaw


Michezo tym ndani Kids Company

Kids Company Mahali pa watoto,Upendo,Umoja,Usafi ,Nidhamu and Hofu ya Mungu



Kids Company Bomba,Ni kila Jumamosi jioni,utakutana na Patricia,Mourine na Mariam
Je unataka mwanao akufurahishe ?Jibu lako ni Kids Company Watoto wa Teacher D

Jumatatu, 23 Septemba 2013

My name is Aneth, 
I am six years old, I am in grade one at HURUMA ACADEMY GOBA.
Join us in this school to better your life

Alhamisi, 19 Septemba 2013

Mwanzo wa Blogu

Leo ni siku ya kwanza kuandika makala ya blogu ya Huruma Center. Angalia mara kwa mara ili kuona kuna nini Huruma Center. Karibu ututembelee siku moja na kuona makuu ambayo Mungu anafanya.