Jumanne, 3 Juni 2014


Asanteni wazazi pamoja na walimu kwa zawadi ya keki may God   bless youuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!

Mungu akubariki ,akulinde ,akupe maisha mazuri yenye kheri 

Happy Birthday  Allen (5 yrs old)

Jumamosi, 10 Mei 2014


Tumepata mtoto mwanamume jina lake Daniel (God is my Judge)


Tunaomba sapoti yenu ya hali na mali ili kuwezesha vijana hawa katika masomo yao ya chuo